⚡ E101 Attendance Machine · 🚚 Delivery Tanzania Nzima · 💰 Lipa Ukipokea
← Rudi Nyumbani
E101 FINGERPRINT ATTENDANCE MACHINE

Agiza E101 Sasa

Rekodi mahudhurio ya wafanyakazi kwa urahisi. Lipa ukipokea.

Sh 299,000 Sh 229,000 OFA
🚚 Delivery Tanzania Nzima 💰 Lipa Ukipokea 🔒 Oda Salama
🔥 OFA INAISHA:
02 Saa
45 Dk
00 Sek
FAST ORDER
Jaza Fomu — Agiza Sasa
Sh 229,000
E101 Fingerprint Attendance Machine
💰 Lipa Ukipokea · 🚚 Delivery Tanzania Nzima
Andika namba yenye tarakimu 10, mfano 0712345678
1 Kifaa — Sh 229,000
JUMLA YA MALIPO: Sh 229,000
🔒 Hakuna malipo sasa. Unalipa pale bidhaa inapofika.
Kuna tatizo limetokea.
✅

Hongera! Oda Yako Imepokelewa

Asante kwa kuagiza E101. Kitengo chetu kitakupigia simu hivi karibuni kuthibitisha oda na delivery yako.

E101 Kwa Karibu

Acha Kutumia Daftari la Mahudhurio

E101 inasaidia biashara kurekodi mahudhurio ya wafanyakazi kwa kutumia fingerprint na password, huku taarifa zikihifadhiwa kwa mpangilio unaoweza kutolewa kupitia USB.

👆

Fingerprint

Wafanyakazi wanaweza kurekodi kuingia na kutoka kwa alama za vidole.

🔐

Password

Inasaidia uthibitisho wa mtumiaji kupitia password.

💾

Kumbukumbu

Taarifa za mahudhurio zinahifadhiwa kwenye kifaa.

🔌

USB Transfer

Hamisha taarifa za mahudhurio kwa kutumia USB.

🖥️

Screen 2.4"

Screen inayorahisisha matumizi ya kifaa kila siku.

🏢

Kwa Biashara

Inafaa kwa ofisi, maduka na maeneo mbalimbali ya kazi.

Kila Kitu Unachohitaji

✓
Fingerprint hadi 1,000 Inafaa kwa matumizi ya biashara yenye wafanyakazi wengi.
✓
Kumbukumbu hadi 100,000 Nafasi kubwa ya kuhifadhi taarifa za mahudhurio.
✓
Fingerprint + Password Njia mbili za uthibitisho wa mtumiaji.
✓
USB Data Transfer Hamisha taarifa za mahudhurio kupitia USB.
✓
Screen 2.4 Inch Onyesho kwa matumizi ya kila siku.
✓
Business Attendance Imeelekezwa kwa ofisi na maeneo ya biashara.

Angalia Maelezo ya E101

E101 fingerprint scanner E101 display

Specifications za E101

Model E101
Uthibitisho Fingerprint + Password
Fingerprint Capacity Hadi 1,000
Attendance Records Hadi 100,000
Screen 2.4 Inch
Data Transfer USB

📦 Ndani ya Box

1 × E101 Fingerprint Attendance Machine
USB Cable
Power Adapter

💰 Lipa Ukipokea

Tunafikisha bidhaa Tanzania nzima.

  • ✓ Thibitisha oda yako kwa simu
  • ✓ Delivery hadi ulipo
  • ✓ Lipa baada ya kupokea bidhaa
  • ✓ Huduma ya wateja baada ya oda
Sh 299,000 Sh 229,000
Scroll to Top